Methali 4:16 - Swahili Revised Union Version16 Maana hawalali isipokuwa wametenda madhara; Huondolewa usingizi, ikiwa hawakumwangusha mtu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Waovu kamwe hawalali wasipotenda uovu; hawapati usingizi wasipomkwaza mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Waovu kamwe hawalali wasipotenda uovu; hawapati usingizi wasipomkwaza mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Waovu kamwe hawalali wasipotenda uovu; hawapati usingizi wasipomkwaza mtu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kwa kuwa hawawezi kulala hadi watende uovu; wanashindwa hata kusinzia hadi wamwangushe mtu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu; wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Maana hawalali isipokuwa wametenda madhara; Huondolewa usingizi, ikiwa hawakumwangusha mtu. Tazama sura |