Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.
Methali 23:27 - Swahili Revised Union Version Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni mtego wa shimo jembamba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Malaya ni shimo refu la kutega watu; mwanamke mgeni ni kama kisima chembamba. Biblia Habari Njema - BHND Malaya ni shimo refu la kutega watu; mwanamke mgeni ni kama kisima chembamba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Malaya ni shimo refu la kutega watu; mwanamke mgeni ni kama kisima chembamba. Neno: Bibilia Takatifu kwa maana kahaba ni shimo refu na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba. Neno: Maandiko Matakatifu kwa maana kahaba ni shimo refu na mwanamke mpotovu ni kisima chembamba. BIBLIA KISWAHILI Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni mtego wa shimo jembamba. |
Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.