Mwanzo 39:10 - Swahili Revised Union Version10 Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Huyo mwanamke aliendelea kumshawishi Yosefu siku baada ya siku, lakini Yosefu hakumsikiliza wala kukubali kulala naye kamwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Huyo mwanamke aliendelea kumshawishi Yosefu siku baada ya siku, lakini Yosefu hakumsikiliza wala kukubali kulala naye kamwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Huyo mwanamke aliendelea kumshawishi Yosefu siku baada ya siku, lakini Yosefu hakumsikiliza wala kukubali kulala naye kamwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ingawa yule mwanamke aliendelea kumshawishi Yusufu siku baada ya siku, Yusufu alikataa kukutana naye kimwili wala kukaa karibu naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ingawa yule mwanamke aliendelea kumshawishi Yusufu siku baada ya siku, Yusufu alikataa kukutana naye kimwili wala kukaa karibu naye. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye. Tazama sura |