Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 39:11 - Swahili Revised Union Version

11 Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani afanye kazi yake, na hapakuwa na mtu yeyote kati ya wale wa nyumbani karibu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Siku moja, Yosefu aliingia nyumbani kufanya kazi yake kama kawaida, na wafanyakazi wengine hawakuwamo nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Siku moja, Yosefu aliingia nyumbani kufanya kazi yake kama kawaida, na wafanyakazi wengine hawakuwamo nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Siku moja, Yosefu aliingia nyumbani kufanya kazi yake kama kawaida, na wafanyakazi wengine hawakuwamo nyumbani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Siku moja Yusufu akaingia ndani ya nyumba kufanya kazi zake, wala hapakuwa mfanyakazi yeyote ndani ya nyumba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Siku moja Yusufu akaingia ndani ya nyumba kufanya kazi zake, wala hapakuwepo na mfanyakazi yeyote ndani ya nyumba.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani afanye kazi yake, na hapakuwa na mtu yeyote kati ya wale wa nyumbani karibu;

Tazama sura Nakili




Mwanzo 39:11
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.


huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.


Tena jicho lake mzinifu hungojea wakati wa gizagiza, Akisema, Hapana jicho litakaloniona; Naye huuficha uso wake.


Maji yaliyoibiwa ni matamu, Na mkate ulioliwa kwa siri hupendeza.


Je, mtu yeyote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema BWANA. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema BWANA.


Nami nitawakaribieni ili kuhukumu; nami sitasita kutoa ushahidi juu ya wachawi; na juu ya wazinzi, na juu ya waapao kwa uongo; juu ya wamwoneao mwajiriwa, kwa ajili ya mshahara wake, wamwoneao mjane na yatima, na kumpotosha mgeni asipate haki yake, wala hawaniogopi mimi, asema BWANA wa majeshi.


kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena.


Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wowote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo