Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 23:28 - Swahili Revised Union Version

28 Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Yeye hunyemelea kama mnyanganyi, husababisha wanaume wengi kukosa uaminifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Yeye hunyemelea kama mnyanganyi, husababisha wanaume wengi kukosa uaminifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Yeye hunyemelea kama mnyang'anyi, husababisha wanaume wengi kukosa uaminifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Kama mnyang’anyi, hungojea akivizia, naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Kama mnyang’anyi, hungojea akivizia, naye huzidisha wasio waaminifu miongoni mwa wanaume.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

28 Naam, huotea kama mnyang'anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu.

Tazama sura Nakili




Methali 23:28
15 Marejeleo ya Msalaba  

Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala kuwa naye.


Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na BWANA atatumbukia ndani yake.


Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani


Na tazama, mwanamke akamkuta, Ana mavazi ya kikahaba, mwerevu wa moyo;


Mara yuko katika njia kuu, mara viwanjani, Naye huotea kwenye pembe za kila njia.


Lakini huyo hajui ya kuwa wafu wamo humo; Ya kuwa wageni wake wamo chini kuzimuni.


Nami nimeona lililo na uchungu kupita mauti; yaani, mwanamke ambaye moyo wake ni mitego na tanzi, na mikono yake ni kama vifungo; yeye ampendezaye Mungu atamponyoka, bali mwenye dhambi atanaswa na yeye.


Inua macho yako, ukavitazame vilele vya milima, ukaone; pako wapi mahali ambapo hawakulala nawe? Kando ya njia umeketi ili kuwangojea, kama vile Mwarabu jangwani; nawe umeitia nchi unajisi kwa ukahaba wako na uovu wako.


Uzinzi na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.


Basi Israeli akakaa Shitimu, kisha watu wakaanza kuzini pamoja na wanawake wa Moabu;


Wala msifanye uasherati, kama wengine wao walivyofanya, wakaanguka siku moja watu elfu ishirini na tatu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo