Na tena, mfalme akasema hivi, BWANA, Mungu wa Israeli, ahimidiwe, aliyenipa leo hivi mtu wa kuketi katika kiti changu cha enzi, nayo macho yangu yakiwa yanaona hayo.
Methali 23:24 - Swahili Revised Union Version Baba yake mwenye haki atashangilia; Naye amzaaye mtoto mwenye hekima atamfurahia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baba wa mtoto mwadilifu atajaa furaha; anayemzaa mtoto mwenye hekima atamfurahia. Biblia Habari Njema - BHND Baba wa mtoto mwadilifu atajaa furaha; anayemzaa mtoto mwenye hekima atamfurahia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baba wa mtoto mwadilifu atajaa furaha; anayemzaa mtoto mwenye hekima atamfurahia. Neno: Bibilia Takatifu Baba wa mwenye haki ana furaha kubwa, naye aliye na mwana mwenye hekima humfurahia. Neno: Maandiko Matakatifu Baba wa mwenye haki ana furaha kubwa, naye aliye na mwana mwenye hekima humfurahia. BIBLIA KISWAHILI Baba yake mwenye haki atashangilia; Naye amzaaye mtoto mwenye hekima atamfurahia. |
Na tena, mfalme akasema hivi, BWANA, Mungu wa Israeli, ahimidiwe, aliyenipa leo hivi mtu wa kuketi katika kiti changu cha enzi, nayo macho yangu yakiwa yanaona hayo.
Basi kwa hiyo usimwachilie, kwa kuwa wewe u mtu wa akili; nawe utajua ikupasayo umtendee, na mvi zake utazishusha Ahera pamoja na damu.
Naye ni nani ajuaye kama huyo atakuwa mwenye hekima au mpumbavu? Hata hivyo atatawala juu ya kazi yangu yote niliyojishughulisha nayo, ambamo ndani yake mimi nimeonesha hekima chini ya jua. Hayo nayo ni ubatili.
Naam, ndugu yangu, nifaidi kwa hili katika Bwana; uniburudishe moyo wangu katika Kristo.
lakini, kwa ajili ya upendo nakusihi, kwa kuwa ndimi, Paulo mzee, na sasa mfungwa wa Kristo Yesu pia.