Methali 15:20 - Swahili Revised Union Version20 Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mpumbavu humdharau mamaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mtoto mwenye hekima humfurahisha baba yake, lakini mpumbavu humdharau mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mtoto mwenye hekima humfurahisha baba yake, lakini mpumbavu humdharau mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mtoto mwenye hekima humfurahisha baba yake, lakini mpumbavu humdharau mama yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, bali mtu mpumbavu humdharau mama yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, bali mtu mpumbavu humdharau mama yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mpumbavu humdharau mamaye. Tazama sura |