Methali 23:13 - Swahili Revised Union Version Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usiache kumrudi mtoto; ukimchapa kiboko hatakufa. Biblia Habari Njema - BHND Usiache kumrudi mtoto; ukimchapa kiboko hatakufa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usiache kumrudi mtoto; ukimchapa kiboko hatakufa. Neno: Bibilia Takatifu Usimnyime mtoto adhabu, ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. Neno: Maandiko Matakatifu Usimnyime mtoto adhabu, ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. BIBLIA KISWAHILI Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa. |
Ni kwa ajili ya kuonywa mnastahimili; Mungu awatendea kama wana; maana ni mwana yupi asiyeonywa na babaye?