Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 23:14 - Swahili Revised Union Version

14 Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na Kuzimu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Ukimtandika kiboko, utayaokoa maisha yake na kuzimu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Ukimtandika kiboko, utayaokoa maisha yake na kuzimu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Ukimtandika kiboko, utayaokoa maisha yake na kuzimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Utampiga kwa fimbo, Na kumwokoa nafsi yake na Kuzimu.

Tazama sura Nakili




Methali 23:14
4 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.


Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; Lakini fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali.


Ila tuhukumiwapo, twarudiwa na Bwana, isije ikatupasa adhabu pamoja na dunia.


kumtolea Shetani mtu huyo, ili mwili uadhibiwe, ili na roho iokolewe katika siku ya Bwana Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo