Methali 23:13 - Swahili Revised Union Version13 Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Usiache kumrudi mtoto; ukimchapa kiboko hatakufa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Usiache kumrudi mtoto; ukimchapa kiboko hatakufa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Usiache kumrudi mtoto; ukimchapa kiboko hatakufa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Usimnyime mtoto adhabu, ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Usimnyime mtoto adhabu, ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Usimnyime mtoto wako mapigo; Maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa. Tazama sura |