Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 19:18 - Swahili Revised Union Version

18 Mrudi mwanao, kwa maana liko tumaini; Wala usiikaze nafsi yako kwa kuangamia kwake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Mrudi mwanao kungali bado na tumaini, lakini usimwadhibu kiasi cha kumwangamiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Mrudi mwanao kungali bado na tumaini, lakini usimwadhibu kiasi cha kumwangamiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Mrudi mwanao kungali bado na tumaini, lakini usimwadhibu kiasi cha kumwangamiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Mkanye mwanao, kwa maana kufanya hivyo kuna tumaini, usiwe mshirika katika mauti yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini, usiwe mshirika katika mauti yake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

18 Mrudi mwanao, kwa maana liko tumaini; Wala usiikaze nafsi yako kwa kuangamia kwake.

Tazama sura Nakili




Methali 19:18
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.


Mtu wa hasira nyingi atachukua adhabu yake, Maana ujapomwokoa huna budi kufanya tena.


Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; Lakini fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali.


Asiyetawala roho yake Ni mfano wa mji uliobomolewa, usio na kuta.


Fimbo na maonyo hutia hekima; Bali mwana aliyeachiliwa humwaibisha mamaye.


Mrudi mwanao naye atakustarehesha; Naam, atakufurahisha nafsi yako.


Mtu akiwa na mwana mkaidi, mshupavu, asiyetii sauti ya baba yake, wala sauti ya mama yake, nao wajapomwadhibu hawasikizi,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo