Methali 19:19 - Swahili Revised Union Version19 Mtu wa hasira nyingi atachukua adhabu yake, Maana ujapomwokoa huna budi kufanya tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Mtu wa hasira kali lazima apate adhabu; ukimwachia mara moja itakubidi kumwachia tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Mtu wa hasira kali lazima apate adhabu; ukimwachia mara moja itakubidi kumwachia tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Mtu wa hasira kali lazima apate adhabu; ukimwachia mara moja itakubidi kumwachia tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima atapata adhabu yake, kama utamwokoa, itakubidi kufanya hivyo tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima atapata adhabu yake, kama utamwokoa, itakubidi kufanya hivyo tena. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Mtu wa hasira nyingi atachukua adhabu yake, Maana ujapomwokoa huna budi kufanya tena. Tazama sura |