Waebrania 12:7 - Swahili Revised Union Version7 Ni kwa ajili ya kuonywa mnastahimili; Mungu awatendea kama wana; maana ni mwana yupi asiyeonywa na babaye? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea nyinyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea nyinyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Vumilieni adhabu kwani ni mafundisho; Mungu huwatendea nyinyi kama wanawe. Maana ni mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Vumilieni taabu kwa ajili ya kufunzwa adabu. Mungu anawatendea ninyi kama watoto wake, kwa maana ni mtoto yupi asiyeadibishwa na mzazi wake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Vumilieni taabu kwa ajili ya kufunzwa adabu. Mungu anawatendea ninyi kama watoto wake, kwa maana ni mtoto yupi asiyeadibishwa na mzazi wake? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Ni kwa ajili ya kurudiwa mnastahimili; Mungu awatendea kama wana; maana ni mwana yupi asiyeonywa na babaye? Tazama sura |