Methali 17:9 - Swahili Revised Union Version Afunikaye kosa hutafuta kupendwa; Bali yeye afichuaye siri hutenga rafiki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Anayesamehe makosa hujenga urafiki, lakini anayekumbusha makosa hutenga rafiki. Biblia Habari Njema - BHND Anayesamehe makosa hujenga urafiki, lakini anayekumbusha makosa hutenga rafiki. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Anayesamehe makosa hujenga urafiki, lakini anayekumbusha makosa hutenga rafiki. Neno: Bibilia Takatifu Yeye anayesamehe kosa hudumisha upendo, bali yeyote arudiaye jambo huwatenganisha rafiki wa karibu. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye anayesamehe kosa hudumisha upendo, bali yeyote arudiaye jambo hutenganisha marafiki wa karibu. BIBLIA KISWAHILI Afunikaye kosa hutafuta kupendwa; Bali yeye afichuaye siri hutenga rafiki. |
jueni ya kuwa yeye amrejeshaye mwenye dhambi hadi akatoka katika njia ya upotevu, ataokoa roho ya mwenye dhambi kutoka mauti, na kufunika wingi wa dhambi.
Zaidi ya yote iweni na bidii kubwa katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi.