Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 17:9 - Swahili Revised Union Version

9 Afunikaye kosa hutafuta kupendwa; Bali yeye afichuaye siri hutenga rafiki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Anayesamehe makosa hujenga urafiki, lakini anayekumbusha makosa hutenga rafiki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Anayesamehe makosa hujenga urafiki, lakini anayekumbusha makosa hutenga rafiki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Anayesamehe makosa hujenga urafiki, lakini anayekumbusha makosa hutenga rafiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Yeye anayesamehe kosa hudumisha upendo, bali yeyote arudiaye jambo huwatenganisha rafiki wa karibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Yeye anayesamehe kosa hudumisha upendo, bali yeyote arudiaye jambo hutenganisha marafiki wa karibu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Afunikaye kosa hutafuta kupendwa; Bali yeye afichuaye siri hutenga rafiki.

Tazama sura Nakili




Methali 17:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Heri aliyesamehewa dhambi, Na kuondolewa makosa yake.


Kuchukiana huleta fitina; Bali kupendana husitiri makosa yote.


Mtu mshupavu huleta fitina; Na mchongezi huwafarakanisha rafiki.


Lawama hupenya moyoni mwa mwenye ufahamu, Kuliko mapigo mia moyoni mwa mpumbavu.


Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;


jueni ya kuwa yeye amrejeshaye mwenye dhambi hadi akatoka katika njia ya upotevu, ataokoa roho ya mwenye dhambi kutoka mauti, na kufunika wingi wa dhambi.


Zaidi ya yote iweni na bidii kubwa katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo