Mwenye haki na anipige, itakuwa fadhili; Anikemee, itakuwa kama mafuta kichwani; Kichwa changu kisikatae, Maana siachi kusali kati ya mabaya yao.
Methali 17:10 - Swahili Revised Union Version Lawama hupenya moyoni mwa mwenye ufahamu, Kuliko mapigo mia moyoni mwa mpumbavu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Onyo kwa mwenye busara lina maana, kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. Biblia Habari Njema - BHND Onyo kwa mwenye busara lina maana, kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Onyo kwa mwenye busara lina maana, kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. Neno: Bibilia Takatifu Karipio humwingia sana mtu mwenye kutambua kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. Neno: Maandiko Matakatifu Karipio humwingia sana mtu mwenye kutambua kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. BIBLIA KISWAHILI Lawama hupenya moyoni mwa mwenye ufahamu, Kuliko mapigo mia moyoni mwa mpumbavu. |
Mwenye haki na anipige, itakuwa fadhili; Anikemee, itakuwa kama mafuta kichwani; Kichwa changu kisikatae, Maana siachi kusali kati ya mabaya yao.
Mpige mwenye mzaha, na mjinga atapata busara; Mwonye mwenye ufahamu, naye atatambua maarifa.