Methali 17:1 - Swahili Revised Union Version Afadhali mego kavu pamoja na utulivu, Kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Afadhali mkate mkavu kwa amani, kuliko karamu katika nyumba ya ugomvi. Biblia Habari Njema - BHND Afadhali mkate mkavu kwa amani, kuliko karamu katika nyumba ya ugomvi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Afadhali mkate mkavu kwa amani, kuliko karamu katika nyumba ya ugomvi. Neno: Bibilia Takatifu Afadhali kula ukoko mkavu ukiwa na amani na utulivu kuliko kukaa kwenye nyumba ya karamu kukiwa na magomvi. Neno: Maandiko Matakatifu Afadhali kula ukoko mkavu ukiwa na amani na utulivu kuliko kukaa kwenye nyumba ya karamu kukiwa na magomvi. BIBLIA KISWAHILI Afadhali mego kavu pamoja na utulivu, Kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi. |
Chakula cha mboga palipo na upendo; Ni bora kuliko ng'ombe aliyenona pamoja na kuchukiana.
Mtumwa atendaye kwa busara atamtawala mwana atendaye mambo ya aibu; Tena atapata sehemu ya urithi kati ya ndugu.
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.