Methali 7:14 - Swahili Revised Union Version14 Kwangu ziko sadaka za amani; Leo hivi nimeziondoa nadhiri zangu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 “Ilinilazimu kutoa tambiko zangu; leo hii nimekamilisha nadhiri yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 “Ilinilazimu kutoa tambiko zangu; leo hii nimekamilisha nadhiri yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 “Ilinilazimu kutoa tambiko zangu; leo hii nimekamilisha nadhiri yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “Nina sadaka za amani nyumbani; leo nimetimiza nadhiri zangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “Nina sadaka za amani nyumbani; leo nimetimiza nadhiri zangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Kwangu ziko sadaka za amani; Leo hivi nimeziondoa nadhiri zangu; Tazama sura |