Methali 7:15 - Swahili Revised Union Version15 Ndiyo maana nikatoka nikulaki, Nikutafute uso wako kwa bidii, nami nimekuona. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Ndio maana nimetoka ili nikulaki, nimekutafuta kwa hamu nikakupata. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Ndio maana nimetoka ili nikulaki, nimekutafuta kwa hamu nikakupata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Ndio maana nimetoka ili nikulaki, nimekutafuta kwa hamu nikakupata. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki; nimekutafuta na nimekupata! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kwa hiyo nimetoka nje kukulaki; nimekutafuta na nimekupata! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Ndiyo maana nikatoka nikulaki, Nikutafute uso wako kwa bidii, nami nimekuona. Tazama sura |