Akarudi akiacha kumfuata, akatwaa lile jozi la ng'ombe, akawachinja, akatokosa nyama zao kwa ile miti ya ng'ombe, akawapa watu, wakala. Kisha akainuka, akamfuata Eliya, akamhudumia.
Mathayo 4:20 - Swahili Revised Union Version Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. Biblia Habari Njema - BHND Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. Neno: Bibilia Takatifu Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. Neno: Maandiko Matakatifu Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. BIBLIA KISWAHILI Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. |
Akarudi akiacha kumfuata, akatwaa lile jozi la ng'ombe, akawachinja, akatokosa nyama zao kwa ile miti ya ng'ombe, akawapa watu, wakala. Kisha akainuka, akamfuata Eliya, akamhudumia.
Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?
Alipoendelea, akaona ndugu wengine wawili, Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye, ambao walikuwa katika mashua pamoja na Zebedayo baba yao, wakizitengeneza nyavu zao; akawaita.
alipoona vema kumdhihirisha Mwanawe ndani yangu, ili niwahubirie Mataifa habari zake; mara sikufanya shauri na watu wenye mwili na damu;