Mathayo 19:27 - Swahili Revised Union Version27 Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Kisha Petro akasema, “Na sisi je? Tumeacha yote tukakufuata; tutapata nini basi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Kisha Petro akasema, “Na sisi je? Tumeacha yote tukakufuata; tutapata nini basi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Kisha Petro akasema, “Na sisi je? Tumeacha yote tukakufuata; tutapata nini basi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, sisi tumeacha kila kitu na kukufuata! Tutapata nini basi?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, sisi tumeacha kila kitu na kukufuata! Tutapata nini basi?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi? Tazama sura |