Angalieni, nitawatumia Eliya nabii, kabla siku ile ya BWANA, iliyo kuu na ya kuogofya haijafika.
Mathayo 27:47 - Swahili Revised Union Version Na baadhi yao waliokuweko, waliposikia, walisema, Huyu anamwita Eliya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.” Biblia Habari Njema - BHND Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.” Neno: Bibilia Takatifu Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Ilya.” Neno: Maandiko Matakatifu Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Ilya.” BIBLIA KISWAHILI Na baadhi yao waliokuweko, waliposikia, walisema, Huyu anamwita Eliya. |
Angalieni, nitawatumia Eliya nabii, kabla siku ile ya BWANA, iliyo kuu na ya kuogofya haijafika.
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Mara mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha.