Malaki 4:5 - Swahili Revised Union Version5 Angalieni, nitawatumia Eliya nabii, kabla siku ile ya BWANA, iliyo kuu na ya kuogofya haijafika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Tazama, kabla ya kufika siku ile kuu na ya kutisha, nitamtuma nabii Elia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Tazama, kabla ya kufika siku ile kuu na ya kutisha, nitamtuma nabii Elia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Tazama, kabla ya kufika siku ile kuu na ya kutisha, nitamtuma nabii Elia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Tazama, nitawapelekea nabii Ilya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Tazama, nitawapelekea nabii Ilya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Angalieni, nitawatumia Eliya nabii, kabla siku ile ya BWANA, iliyo kuu na ya kuogofya haijafika. Tazama sura |