Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 27:47 - Swahili Revised Union Version

47 Na baadhi yao waliokuweko, waliposikia, walisema, Huyu anamwita Eliya.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

47 Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

47 Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

47 Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

47 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Ilya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

47 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Ilya.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

47 Na baadhi yao waliokuweko, waliposikia, walisema, Huyu anamwita Eliya.

Tazama sura Nakili

Mathayo 27:47
5 Marejeleo ya Msalaba  

Angalieni, nitawatumia Eliya nabii, kabla siku ile ya BWANA, iliyo kuu na ya kuogofya haijafika.

Na ikiwa mnataka kukubali, yeye ndiye Eliya atakayekuja.

Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Mara mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo