Mathayo 22:35 - Swahili Revised Union Version Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza, akimjaribu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu, Biblia Habari Njema - BHND Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu, Neno: Bibilia Takatifu Mmoja wao, mtaalamu wa Torati, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema, Neno: Maandiko Matakatifu Mmoja wao, mtaalamu wa Torati, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema, BIBLIA KISWAHILI Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza, akimjaribu; |
Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamwuliza, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe? Huku wakimjaribu.
Ole wenu, enyi wanasheria, kwa kuwa mmeuondoa ufunguo wa maarifa; wenyewe hamkuingia, na wale waliokuwa wakiingia mmewazuia.
Yesu akajibu, akawaambia wanasheria na Mafarisayo, Je! Ni halali kuponya siku ya sabato, ama sivyo?
Lakini, Mafarisayo na wanasheria walilipinga shauri la Mungu juu yao, kwa kuwa hawakubatizwa naye.
Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika ardhi.
Jaribu uwezavyo kumsaidia Zena, yule mwanasheria, na Apolo, ili wakiwa safarini wasipungukiwe na chochote.