Mathayo 22:36 - Swahili Revised Union Version36 Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 “Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika sheria?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 “Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika sheria?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 “Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika sheria?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 “Mwalimu, ni amri ipi katika Torati iliyo kuu kuliko zote?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 “Mwalimu, ni amri ipi katika Torati iliyo kuu kuliko zote?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu? Tazama sura |