Mathayo 22:37 - Swahili Revised Union Version37 Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Yesu akamjibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Isa akamjibu, “ ‘Mpende Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Isa akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mwenyezi Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Tazama sura |