Naye alipoingia nyumbani, Yesu alitangulia kumwuliza, akisema, Waonaje, Simoni? Wafalme wa dunia hutwaa kodi ama ushuru kwa watu gani? Kwa wana wao au kwa wageni?
Mathayo 22:19 - Swahili Revised Union Version Nionesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha. Biblia Habari Njema - BHND Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha. Neno: Bibilia Takatifu Nionesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari. Neno: Maandiko Matakatifu Nionyesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari. BIBLIA KISWAHILI Nionesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari. |
Naye alipoingia nyumbani, Yesu alitangulia kumwuliza, akisema, Waonaje, Simoni? Wafalme wa dunia hutwaa kodi ama ushuru kwa watu gani? Kwa wana wao au kwa wageni?
Mtumwa yule akatoka, akamwona mmoja wa watumishi wake, aliyemwia dinari mia; akamkamata, akamkaba koo, akisema, Nilipe unachodaiwa.
Naye alipokwisha kupatana na wafanya kazi kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu.
Nikasikia kama sauti katikati ya hao wenye uhai wanne, ikisema, Kibaba cha ngano kwa nusu rupia, na vibaba vitatu vya shayiri kwa nusu rupia, wala usiyadhuru mafuta wala divai.