Mathayo 20:2 - Swahili Revised Union Version2 Naye alipokwisha kupatana na wafanya kazi kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Akapatana nao kuwalipa fedha denari moja kwa siku, kisha akawapeleka katika shamba lake la mizabibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Akapatana nao kuwalipa fedha denari moja kwa siku, kisha akawapeleka katika shamba lake la mizabibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Akapatana nao kuwalipa fedha denari moja kwa siku, kisha akawapeleka katika shamba lake la mizabibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Baada ya kukubaliana na hao vibarua kuwalipa ujira wa dinari moja kwa siku, akawapeleka kwenye shamba lake la mizabibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Baada ya kukubaliana na hao vibarua kuwalipa ujira wa dinari moja kwa siku, akawapeleka kwenye shamba lake la mizabibu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Naye alipokwisha kupatana na wafanya kazi kuwapa kutwa dinari, aliwapeleka katika shamba lake la mizabibu. Tazama sura |