Mathayo 20:3 - Swahili Revised Union Version3 Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 “Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 “Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Akatoka mnamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi; Tazama sura |