Mathayo 16:7 - Swahili Revised Union Version Wakabishana wao kwa wao, wakisema, Ni kwa sababu hatukuchukua mikate. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wao wakawa wanajadiliana: “Anasema hivyo kwa kuwa hatukuchukua mikate.” Biblia Habari Njema - BHND Lakini wao wakawa wanajadiliana: “Anasema hivyo kwa kuwa hatukuchukua mikate.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wao wakawa wanajadiliana: “Anasema hivyo kwa kuwa hatukuchukua mikate.” Neno: Bibilia Takatifu Wakajadiliana wao kwa wao, wakisema, “Ni kwa sababu hatukuleta mikate.” Neno: Maandiko Matakatifu Wakajadiliana wao kwa wao, wakisema, “Ni kwa sababu hatukuleta mikate.” BIBLIA KISWAHILI Wakabishana wao kwa wao, wakisema, Ni kwa sababu hatukuchukua mikate. |
Naye Yesu akafahamu, akawaambia, Mbona mnabishana ninyi kwa ninyi, enyi wa imani haba, kwa sababu hamna mikate?
Ubatizo wa Yohana ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni, au kwa wanadamu? Wakahojiana wao kwa wao, wakisema, Tukisema, Ulitoka mbinguni, atatuambia, Mbona basi hamkumwamini?
Wakalishika neno lile, wakiulizana wao kwa wao, Huko kufufuka katika wafu maana yake nini?
Lakini Petro akasema, La, hasha! Bwana, kwa maana sijawahi kula kitu kilicho kichafu au najisi.