Matendo 10:14 - Swahili Revised Union Version14 Lakini Petro akasema, La, hasha! Bwana, kwa maana sijawahi kula kitu kilicho kichafu au najisi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Petro akajibu, “La, Bwana; mimi sijaonja kamwe chochote ambacho ni najisi au kichafu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Petro akajibu, “La, Bwana; mimi sijaonja kamwe chochote ambacho ni najisi au kichafu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Petro akajibu, “La, Bwana; mimi sijaonja kamwe chochote ambacho ni najisi au kichafu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Petro akajibu, “La hasha, Bwana! Sijawahi kamwe kula kitu chochote kilicho najisi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Petro akajibu, “La hasha, Bwana Mwenyezi! Sijawahi kamwe kula kitu chochote kilicho najisi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Lakini Petro akasema, La, hasha! Bwana, kwa maana sijawahi kula kitu kilicho kichafu au najisi. Tazama sura |
Kwa ajili ya hayo mtapambanua kati ya mnyama aliye safi na mnyama aliye najisi, na kati ya ndege aliye safi na ndege aliye najisi; nanyi msizifanye nafsi zenu kuwa machukizo kwa njia ya mnyama, au kwa njia ya ndege, au kwa njia ya kitu chochote ambacho nchi imejaa nacho, nilichokitenga nanyi kuwa ni najisi.