Luka 24:15 - Swahili Revised Union Version15 Ikawa katika kuzungumza na kuulizana kwao, Yesu mwenyewe alikaribia, akaandamana nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Yesu mwenyewe akatokea, akatembea pamoja nao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Isa mwenyewe akaja akatembea pamoja nao, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Walipokuwa wakizungumza na kujadiliana, Isa mwenyewe akaja akatembea pamoja nao, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Ikawa katika kuzungumza na kuulizana kwao, Yesu mwenyewe alikaribia, akaandamana nao. Tazama sura |