Luka 9:46 - Swahili Revised Union Version46 Wakaanza kuhojiana, ni nani atakayekuwa mkubwa miongoni mwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Kukatokea majadiliano kati ya wale wanafunzi kuhusu nani kati yao aliyekuwa mkuu zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Kukatokea majadiliano kati ya wale wanafunzi kuhusu nani kati yao aliyekuwa mkuu zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Kukatokea majadiliano kati ya wale wanafunzi kuhusu nani kati yao aliyekuwa mkuu zaidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Kukazuka mabishano miongoni mwa wanafunzi kuhusu ni nani miongoni mwao atakayekuwa mkuu kuliko wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Kukazuka mabishano miongoni mwa wanafunzi kuhusu ni nani miongoni mwao atakayekuwa mkuu kuliko wote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI46 Wakaanza kuhojiana, ni nani atakayekuwa mkubwa miongoni mwao. Tazama sura |