Mathayo 15:25 - Swahili Revised Union Version Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo huyo mama akaja, akamsujudia, akasema, “Bwana, nisaidie.” Biblia Habari Njema - BHND Hapo huyo mama akaja, akamsujudia, akasema, “Bwana, nisaidie.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo huyo mama akaja, akamsujudia, akasema, “Bwana, nisaidie.” Neno: Bibilia Takatifu Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Isa, akasema, “Bwana, nisaidie!” Neno: Maandiko Matakatifu Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Isa, akasema, “Bwana, nisaidie!” BIBLIA KISWAHILI Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie. |
Naam, alishindana na malaika Akashinda; alilia, na kumsihi; Alimwona huko Betheli, naye akasema nasi huko;
Mkutano wakawakaripia, wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti, wakisema, Uturehemu, Bwana, mwana wa Daudi!
Na tazama, akaja mtu mwenye ukoma akamsujudia, akisema, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.
Na mara nyingi amemtupa katika moto, na katika maji, amwangamize; lakini ukiweza neno lolote, utuhurumie, na kutusaidia.