Hosea 12:4 - Swahili Revised Union Version4 Naam, alishindana na malaika Akashinda; alilia, na kumsihi; Alimwona huko Betheli, naye akasema nasi huko; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yakobo akiwa bado tumboni mwa mama yake, alimshika kisigino kaka yake. Na alipokuwa mtu mzima alishindana na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yakobo akiwa bado tumboni mwa mama yake, alimshika kisigino kaka yake. Na alipokuwa mtu mzima alishindana na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yakobo akiwa bado tumboni mwa mama yake, alimshika kisigino kaka yake. Na alipokuwa mtu mzima alishindana na Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Alishindana na malaika na kumshinda; alilia na kuomba upendeleo wake. Alimkuta huko Betheli na kuzungumza naye huko: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Alishindana na malaika na kumshinda; alilia na kuomba upendeleo wake. Alimkuta huko Betheli na kuzungumza naye huko: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Naam, alishindana na malaika Akashinda; alilia, na kumsihi; Alimwona huko Betheli, naye akasema nasi huko; Tazama sura |