Mathayo 15:25 - Swahili Revised Union Version25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Hapo huyo mama akaja, akamsujudia, akasema, “Bwana, nisaidie.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Hapo huyo mama akaja, akamsujudia, akasema, “Bwana, nisaidie.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Hapo huyo mama akaja, akamsujudia, akasema, “Bwana, nisaidie.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Isa, akasema, “Bwana, nisaidie!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Isa, akasema, “Bwana, nisaidie!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie. Tazama sura |