Mathayo 15:16 - Swahili Revised Union Version Yesu akasema, Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi? Biblia Habari Njema - BHND Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi? Neno: Bibilia Takatifu Isa akawauliza, “Je, bado ninyi hamfahamu? Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawauliza, “Je, bado ninyi hamfahamu? BIBLIA KISWAHILI Yesu akasema, Hata sasa ninyi nanyi mngali hamna akili? |
Imekuwaje hamkufahamu ya kuwa sikuwaambia kwa sababu ya mkate? Ila jilindeni na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo.
Hamjafahamu bado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyoviokota?
Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi;
Lakini hawakuelewa maneno hayo hata kidogo, na jambo hilo lilikuwa limefichwa kwao, wala hawakufahamu yaliyonenwa.
Lakini hawakulifahamu neno lile, likafichwa kwao wasilitambue; wakaogopa kumwuliza maana yake neno lile.
Kwa maana, iwapasapo kuwa waalimu, (maana wakati mwingi umepita), mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu.