Mathayo 16:9 - Swahili Revised Union Version9 Hamjafahamu bado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyoviokota? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu 5,000? Je, mlijaza vikapu vingapi vya mabaki? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu 5,000? Je, mlijaza vikapu vingapi vya mabaki? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu 5,000? Je, mlijaza vikapu vingapi vya mabaki? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Je, bado hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano kwa watu elfu tano, na idadi ya vikapu vilivyojaa mabaki mlivyokusanya? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Je, bado hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano iliyolisha watu 5,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Hamjafahamu bado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale watu elfu tano, na vikapu vingapi mlivyoviokota? Tazama sura |