Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?
Mathayo 14:32 - Swahili Revised Union Version Nao walipopanda katika mashua, upepo ulikoma. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha wakapanda mashuani, na upepo ukatulia. Biblia Habari Njema - BHND Kisha wakapanda mashuani, na upepo ukatulia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha wakapanda mashuani, na upepo ukatulia. Neno: Bibilia Takatifu Nao walipoingia ndani ya mashua, upepo ukakoma. Neno: Maandiko Matakatifu Nao walipoingia ndani ya mashua, upepo ukakoma. BIBLIA KISWAHILI Nao walipopanda katika mashua, upepo ulikoma. |
Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?
Basi wakataka kumpokea katika mashua; na mara hiyo mashua ikaifikia nchi waliyokuwa wakiiendea.