Marko 4:41 - Swahili Revised Union Version41 Wakaingiwa na hofu kuu, wakaambiana, Ni nani huyu, basi, hata upepo na bahari humtii? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Nao wakaogopa sana, wakawa wanaulizana, “Huyu ni nani basi, hata upepo na mawimbi vinamtii?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Nao wakaogopa sana, wakawa wanaulizana, “Huyu ni nani basi, hata upepo na mawimbi vinamtii?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Nao wakaogopa sana, wakawa wanaulizana, “Huyu ni nani basi, hata upepo na mawimbi vinamtii?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Nao wakawa wameogopa sana, wakaulizana, “Ni nani huyu? Hata upepo na mawimbi vinamtii!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Nao wakawa wameogopa sana, wakaulizana, “Ni nani huyu ambaye hata upepo na mawimbi vinamtii?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Wakaingiwa na hofu kuu, wakaambiana, Ni nani huyu, basi, hata upepo na bahari humtii? Tazama sura |