Marko 5:1 - Swahili Revised Union Version1 Wakafika ng'ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerase. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ngambo ya ziwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ngambo ya ziwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Basi, wakafika katika nchi ya Wagerase, ng'ambo ya ziwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Isa na wanafunzi wake wakafika upande wa pili wa ziwa, wakaingia katika nchi ya Wagerasi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Wakafika upande wa pili wa ziwa wakaingia katika nchi ya Wagerasi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Wakafika ng'ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerase. Tazama sura |