Wakati huo Yesu aliwaambia wanafunzi wake, Mtu yeyote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake, anifuate.
Mathayo 10:38 - Swahili Revised Union Version Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata, hanistahili. Biblia Habari Njema - BHND Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata, hanistahili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata, hanistahili. Neno: Bibilia Takatifu Tena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu. Neno: Maandiko Matakatifu Tena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu. BIBLIA KISWAHILI Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. |
Wakati huo Yesu aliwaambia wanafunzi wake, Mtu yeyote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake, anifuate.
Walipokuwa wakitoka, wakamwona mtu Mkirene, jina lake Simoni; huyu wakamshurutisha auchukue msalaba wake.
Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa na neno moja. Nenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.
Akawaita mkutano pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, Mtu yeyote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe, ajitwike na msalaba wake, anifuate.
Akatoka, huku akijichukulia msalaba wake, mpaka mahali paitwapo Fuvu la Kichwa, au kwa Kiebrania, Golgotha.