Mathayo 10:38 - Swahili Revised Union Version38 Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata, hanistahili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata, hanistahili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Mtu asiyechukua msalaba wake na kunifuata, hanistahili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Tena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Tena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI38 Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. Tazama sura |