Luka 5:9 - Swahili Revised Union Version Maana alishikwa na mshangao, yeye na wote waliokuwa pamoja naye, kwa sababu ya wingi wa samaki waliowapata; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile. Biblia Habari Njema - BHND Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile. Neno: Bibilia Takatifu Kwa kuwa yeye na wavuvi wenzake walikuwa wameshangazwa sana na wingi wa samaki waliokuwa wamepata. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa kuwa yeye na wavuvi wenzake walikuwa wameshangazwa sana na wingi wa samaki waliokuwa wamepata. BIBLIA KISWAHILI Maana alishikwa na mshangao, yeye na wote waliokuwa pamoja naye, kwa sababu ya wingi wa samaki waliowapata; |
Mshangao ukawashika wote, wakasemezana wakisema, Ni neno gani hili, maana awaamuru pepo wachafu kwa uwezo na nguvu, nao hutoka.
na kadhalika Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, waliokuwa washirika wa Simoni. Yesu akamwambia Simoni, Usiogope, tangu sasa utakuwa ukivua watu.
Simoni Petro alipoona hayo, alianguka magotini mbele ya Yesu, akisema, Ondoka kwangu, kwa kuwa mimi ni mtu mwenye dhambi, Bwana.