Luka 2:18 - Swahili Revised Union Version18 Wote waliosikia wakastaajabu kwa hayo waliyoambiwa na wachungaji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Nao wote waliosikia habari hizi wakastaajabia yale waliyoambiwa na wale wachungaji wa kondoo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Nao wote waliosikia habari hizi wakastaajabia yale waliyoambiwa na wale wachungaji wa kondoo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Wote waliosikia wakastaajabu kwa hayo waliyoambiwa na wachungaji. Tazama sura |