Luka 2:19 - Swahili Revised Union Version19 Lakini Mariamu akayaweka maneno hayo yote, akiyafikiri moyoni mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Lakini Maria aliyaweka na kuyatafakari mambo hayo yote moyoni mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Lakini Maria aliyaweka na kuyatafakari mambo hayo yote moyoni mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Lakini Maria aliyaweka na kuyatafakari mambo hayo yote moyoni mwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Lakini Mariamu akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Lakini Mariamu akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Lakini Mariamu akayaweka maneno hayo yote, akiyafikiri moyoni mwake. Tazama sura |