Zaburi 8:8 - Swahili Revised Union Version8 Ndege wa angani, na samaki wa baharini; Na kila kipitacho njia za baharini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 ndege, samaki, na viumbe vyote vya baharini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 ndege, samaki, na viumbe vyote vya baharini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 ndege, samaki, na viumbe vyote vya baharini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 ndege wa angani na samaki wa baharini, naam, kila kinachoogelea katika njia za bahari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 ndege wa angani na samaki wa baharini, naam, kila kiogeleacho katika njia za bahari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Ndege wa angani, na samaki wa baharini; Na kila kipitacho njia za baharini. Tazama sura |