Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 8:9 - Swahili Revised Union Version

9 Wewe, MUNGU, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote!

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu, kweli jina lako latukuka duniani kote!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu, kweli jina lako latukuka duniani kote!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Ee Mwenyezi-Mungu, Bwana wetu, kweli jina lako latukuka duniani kote!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Ee Mwenyezi Mungu, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Ee bwana, Bwana wetu, tazama jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 Wewe, MUNGU, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote!

Tazama sura Nakili




Zaburi 8:9
4 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikia upeo wa huyo Mwenyezi?


Ee BWANA, jinsi yalivyo mengi matendo yako! Kwa hekima umevifanya vyote pia. Dunia imejaa viumbe wako.


Ee, MUNGU, Bwana wetu Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote! Wewe umeuweka utukufu wako mbinguni;


Hapana aliyefanana na Mungu, Ee Yeshuruni, Ajaye amepanda juu ya mbingu ili akusaidie. Na juu ya mawingu katika utukufu wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo