Luka 23:18 - Swahili Revised Union Version Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mwondoe huyu, utufungulie Baraba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” ( Biblia Habari Njema - BHND Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” ( Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini wote wakapiga kelele pamoja: “Mwondoe huyo, utufungulie Baraba!” ( Neno: Bibilia Takatifu Ndipo watu wote wakapiga kelele kwa pamoja, “Mwondoe mtu huyu! Tufungulie Baraba!” Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo watu wote wakapiga kelele kwa pamoja, “Mwondoe mtu huyo! Tufungulie Baraba!” BIBLIA KISWAHILI Wakapiga kelele wote pamoja, wakisema, Mwondoe huyu, utufungulie Baraba. |
Lakini Petro akasimama nje mlangoni. Basi yule mwanafunzi mwingine aliyejulikana na Kuhani Mkuu akatoka, akasema na mlinda mlango, akamleta Petro ndani.
Wakamsikiliza mpaka neno lile, wakapaza sauti zao, wakisema, Mwondoe huyu katika nchi, kwa maana haifai aishi.